Thursday, 6 August 2020

Mlipuko mkubwa uliolikumba eneo la bandari ya mji mkuu wa Lebanon, Beirut

swipe up 👆 to read and slide down to view !!!!



Je, ammonium nitrate ni nini?
Mlipuko mkubwa uliolikumba eneo la bandari ya mji mkuu wa Lebanon, Beirut, umeishtua dunia nzima, na hadi sasa watu zaidi ya mia moja wamefariki dunia na wengine elfu nne kujeruhiwa. Imeripotiwa kuwa chanzo cha mlipuko huo ni tani 2,750 za ammonium nitrate zilizokuwa zimehifadhiwa katika ghala moja kwa miaka sita bila ya kuzingatia hatua muhimu za kiusalama.



jkanuth20@gmail.com

Never Give In

Swipe upwards👆 to read swipe down to see!!!! Today's youth need immediate success and progress instead of thinking and finding sources ...