Wednesday, 17 March 2021

VIJANA WENGI UKOSEA

swipe up 👆 to read and slide down to view !!!! . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . VIJANA WA KIUME KWA WAKIKE SASA! Vijana wamekua wakujificha na kuogopa kwa kuangalia nani ataniona? Mashuleni, majumbani asa mitaani...........mwanachuo utasikia mimi siwezi kuingia darasani kama mtumwa wakati nilengo la kilichompeleka pale na wengi wao majumbani wanashindwa kujishughulisha na shughuli ndogo ndogo kama kulima bustani za mazao, kupika vitafunwa na chakula, kufanya kazi kama saidia fundi na zinginezo zote zisizo na taaluma na kujiwekea mda tegemezi kwenye mitandao ya kijamii. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Madhara yake>>>>>>>>>>> 1. Ongezeko la watu kuwa tegemezi 2. Matukio mabaya kuongezeka mitaani kama ujambazi, wizi na ubakaji 3. Ongezeko la watu wasio na kazi namba kuwa kubwa 4. Kukosa maendeleo katika jamii

jkanuth20@gmail.com

Never Give In

Swipe upwards👆 to read swipe down to see!!!! Today's youth need immediate success and progress instead of thinking and finding sources ...