My name is James Kanuth , I'm TANZANIAN This site is all about update, news and studies Gets updates of new movies and music also booking for photography gets notes etc contact jkanuth20@gmail.com for more information and services. Thanks for visiting my blog ��
Wednesday 17 March 2021
VIJANA WENGI UKOSEA
swipe up 👆 to read and slide down to view !!!! . . . . . . . . . . . . . . . .
. . . . . . . . . . . . . VIJANA WA KIUME KWA WAKIKE SASA! Vijana wamekua
wakujificha na kuogopa kwa kuangalia nani ataniona? Mashuleni, majumbani asa
mitaani...........mwanachuo utasikia mimi siwezi kuingia darasani kama mtumwa
wakati nilengo la kilichompeleka pale na wengi wao majumbani wanashindwa
kujishughulisha na shughuli ndogo ndogo kama kulima bustani za mazao, kupika
vitafunwa na chakula, kufanya kazi kama saidia fundi na zinginezo zote zisizo na
taaluma na kujiwekea mda tegemezi kwenye mitandao ya kijamii. . . . . . . . . .
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
. . . . . . . . . . . Madhara yake>>>>>>>>>>> 1. Ongezeko la watu kuwa tegemezi
2. Matukio mabaya kuongezeka mitaani kama ujambazi, wizi na ubakaji 3. Ongezeko la
watu wasio na kazi namba kuwa kubwa 4. Kukosa maendeleo katika jamii
Subscribe to:
Posts (Atom)
jkanuth20@gmail.com
Never Give In
Swipe upwards👆 to read swipe down to see!!!! Today's youth need immediate success and progress instead of thinking and finding sources ...
-
Swipe upwards👆 to read swipe down to see!!!! Today's youth need immediate success and progress instead of thinking and finding sources ...
-
swipe up 👆 to read and slide down to view !!!! Here will you able to start and practice Adobe Photoshop
-
In this post, we are discussing about the difference between GPT and MBR in this post. And also helping you choose the right one for your ...